Uwanja wa michezo wa Sabratha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo Sabrathani uwanja maalum wa Soka , unaopatikana huko Sabratha nchini Libya. Ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Wefaq Sabratha. Hutumika kwa michezo mbalimbali ikiwemo mipira wamiguu

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Sabratha kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.