Uwanja wa michezo wa Ranchers Bees

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Ranchers Bees ni uwanja wa Jiji la Kaduna nchini Nigeria. Hivi sasa unatumiwa zaidi kwa mpira wa miguu ikiwa ni uwanja wa nyumbani wa timu ya mpira ya Ranchers Bees FC, (aka Aruwa Boys) na Kaduna United FC. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 5,000.Kada City FC watumia Uwanja wa Ranchers Bees kwa michezo ya nyumbani katika Ligi ya Soka ya Wataalamu ya Nigeria (NPFL).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Ranchers Bees kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.