Uwanja wa michezo wa Oyem

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Oyem ni uwanja wa michezo uliopo katika mji wa Oyem, ulipo nchini Gabon wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 20,500.[1], uwanja ulifunguliwa mwaka 2017 ukiwa ni maalumu kwa ajili mashindano ya kombe la mataifa huru ya Afrika.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Oyem kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.