Uwanja wa michezo wa Motherwell NU2

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Motherwell NU2 unatumika kwa matumizi mengi na upo Motherwell, Eastern Cape,nchini South Africa. Kwa sasa unatumika zaidi kwa mchezo wa mpira wa miguu(soka) na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya watoto ya Bay United F.C.

Mara nyingi mwezi Januari na Februari shule za Motherwell huenda huko kushindana mashindano ya kukimbia. Na shule ambayo inashinda hupewa tuzo itwayo "Riboh".

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Motherwell NU2 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.