Uwanja wa michezo wa Modderfontein

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Modderfontein ni uwanja wenye matumizi mengi uliopo Modderfontein eneo la wilaya ya Lethabong, ambapo ni sehemu ya jiji la Metropolitan johannesburg huko nchini Afrika Kusini. Mara nyingi uwanja huu umekuwa ukitumika kwa mechi za mpira wa miguu (Soka).

Maswala Ya Soka[hariri | hariri chanzo]

  • Katika miaka ya hivi karibuni, mpaka mwaka 2009, Uwanja huu umekuwa ukitumika kama makao makuu na uwanja wa mazoezi wa timu ya Soka ya Platinum Stars F.C.. Ikicheza kwanza katika mchuano wa daraja la kwanza na baadae katika Ligi kuu ya soka,Hata hivyo, Klabu ilipendelea kutumia viwanja vikubwa kama uwanja wa mechi zao za nyumbani. Mnamo mwaka 2000-06, Klabu ilitumia uwanja wa Peter Mokaba uliopo Polokwane kama Uwanja wa nyumbani, na miaka iliyofuata walikuwa wakicheza katika uwanja wa Royal Bafokeng uliopo Phokeng.
  • Wakati timu ya Soka ya (Highlands Prak FC) walishinda katika shindano la ligi ya Vodacom mnamo Juni 2007, Klabu iliamua kuhamisha uwanja wa mazoezi kwenda katika klabu ya michezo ya Modderfontein. Kwanzia mnamo juni 2011, palibaki kuwa kambi yao ya nyumbani ya klabu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Modderfontein kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.