Uwanja wa michezo wa Mochudi
Mandhari
Uwanja wa mchezo wa Mochudi ni uwanja unaotumika kwa matumizi mbalimbali na unapatikana huko Gaborone,nchini Botswana. Unatumiwa zaidi kwa mechi za mpira wa miguu na hutumika kama uwanja wa nyumbani wa klabu ya Center Chiefs. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 10,000.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Mochudi kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |