Uwanja wa michezo wa Legare

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Legare ni uwanja wa michezo huko Gobabis, katika eneo la Omaheke nchini Namibia.[1] Mnamo mwaka 2020 uwanja huo umechakaa na hivyo hautumiki kama uwanja wa michezo.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Weekend Sport Preview Archived 2011-07-22 at the Wayback Machine Namibian Sport, November 2006
  2. Hembapu, Otniel. "Gobabis Legare stadium falling apart… municipality says situation under control", 21 October 2020. 
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Legare kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.