Uwanja wa michezo wa KwaThema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa KwaThema ni uwanja wa shughuli mbalimbali za kimichezo huko KwaThema, Gauteng, nchini Afrika Kusini..[1] Hivi sasa unatumika zaidi katika mchezo wa mpira wa miguu (soka), na ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya Valencia FC katika Ligi ya Vodacom.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Kwathema Stadium « HEYSPORTS.CO.ZA". heysports.co.za (kwa en-ZA). Iliwekwa mnamo 2021-02-21. 
  2. "African All Stars shine". African Reporter (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2021-02-21. 
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa KwaThema kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.