Uwanja wa michezo wa Kintele Aquatic Complex

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Uwanja wa michezo wa majini Kintele ni uwanja wa michezo uliopo nchini Congo unaotumika kwa ajili ya mashindano na michezo ya kuogelea.Ni uwanja uliowahi kuandaa mashindano ya kuogelea ya Afrika kwa mwaka 2015.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Good performances at the 2015 African Games. FINA (2015-09-20). Retrieved 2019-08-19.
Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uwanja wa michezo wa Kintele Aquatic Complex kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.