Uwanja wa michezo wa Kings Park
Uwanja wa michezo wa Kings Park kwa sasa hujulikana kama Jonsson Kings Park baada ya kudhaminiwa mnamo Machi 8, 2018,[1] ni uwanja wa michezo uliopo Kings Park Sporting Precinct huko Durban nchini Afrika Kusini.
Uwanja huo ulijengwa kustahimili mnamo mwaka 1958,[2][3] na una uwezo wa kuchukua watu 12,000.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ https://sharksrugby.co.za/2020/03/16/time-for-a-break/
- ↑ Stadium history. The Sharks. Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-07-07. Iliwekwa mnamo 2021-06-08.
- ↑ Facts about Durban - Kings Park. Allan Jackson (6 Mar 2007).
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Kings Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |