Uwanja wa michezo wa Khartoum
Mandhari
Uwanja wa michezo wa Kimataifa wa Khartoum ni uwanja wenye matumizi mengi huko Khartoum, nchini Sudan. Hivi sasa hutumiwa zaidi kwa mechi za mpira wa miguu soka. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 23,000. Pia ni uwanja wa nyumbani wa Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Sudani na ya klabu ya Al Ahli SC Khartoum. Mnamo mwaka 2010, uliboreshwa kwa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika ya mwaka 2011.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "World Stadiums - Stadiums in Sudan". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-05. Iliwekwa mnamo 2021-06-22.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Khartoum kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |