Uwanja wa michezo wa Green Awendo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Green Awendo ni uwanja wa michezo wenye shughuli mbalimbali za kimichezo huko Awendo nchini Kenya. Unatumika zaidi katika mchezo wa mpira wa miguu na ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya Sony Sugar. Uwanja huo una uwezo wa kuhimili watu 5,000.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Green Awendo kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.