Uwanja wa michezo wa Giyani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Giyani ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi na unapatikana Afrika Kusini,unatumika mara nyingi kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu ,pia ulitumika Kama sehemu yenye kiwango cha juu cha kufanyia matamasha, na ni uwanja wa nyumbani wa Dynamo F.C iliyoko Afrika Kusini.Uwanja wa michezo wa Giyani unauwezo wa kuingiza watu 20,000.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Dynamos Giyani - Toutes les infos sur Dynamos Giyani". Match en direct. Iliwekwa mnamo 2019-01-18. 
  2. "Giyani Stadium - Soccerway". gh.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2019-01-18. 
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Giyani kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.