Uwanja wa michezo wa Gbegamey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Gbegamey ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi unayopatikana Cotonou, nchini Benin. Kwa sasa unatumika mara nyingi kwa michezo ya shirikisho la mpira wa miguu na ndio uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Mambas Noirs FC inayoshiriki ligi ya Benin. Uwanja huu una uwezo wa kubeba washabiki 5,000.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Stadiums in Benin". worldstadiums.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-08. Iliwekwa mnamo 2010-09-27.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)

Viunga vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Gbegamey kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.