Uwanja wa michezo wa Clive Solomons

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Clive Solomons ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi huko Bloemfontein,nchini Afrika Kusini. Mara nyingi hutumika kwa mchezo wa mpira wa miguu na ndiyo uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Bubchu United.


Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Clive Solomons kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.