Uwanja wa michezo wa Chatsworth

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Chatsworth ni uwanja wenye matumizi mengi uliopo Durban, huko nchini Afrika Kusini. Mara nyingi umekuwa ukitumiwa na mechi za chama cha mchezo wa Soka (Mpira wa miguu) na pia ukitumiwa kama uwanja wa nyumbani wa timu ya (Golden Arrows).[1]

Kutokea mnamo mwaka 1985 hadi kufilisika kwao mnamo mwaka 2006, ulikuwa uwanja nyumbani kwa timu ya Soka ya (Manning Rangers F.C.), mabingwa wa msimu wa uzinduzi wa Ligi kuu ya Soka ya Afrika Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Archived copy. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-08-28. Iliwekwa mnamo 2009-12-29.
Sports icon.png Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Chatsworth kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.