Uwanja wa michezo wa Aper Aku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa Uwanja wa Aper Aku

Uwanja wa Aper Aku ni uwanja wa michezo wenye matumizi mbalimbali unaopatikana eneo la Makurdi lililopo katika Jimbo la Benue, nchini Nigeria. Ujenzi wa uwanja huo ulianzishwa na Jamhuri ya Pili ya Nigeria na gavana Aper Aku. Lami ya Teknolojia ya Geo ya Asili ya 100% ilijengwa na Monimichelle Sports Facility Construction Ltd.[1] Hivi sasa unatumiwa zaidi kwa mechi za mpira wa miguu na ndio uwanja wa nyumbani wa Lobi Stars. Uwanja wa Aper Aku una uwezo wa kuchukua watu 15,000. Hivi karibuni ulikarabatiwa kwa ajili ya maandalizi ya fainali ya Kombe la FA la Nigeria mwaka 2007.

marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Aper Aku kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.