Uwanja wa michezo wa Al-Merrikh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Al-Merrikh ni uwanja unaojulikana pia kama Jumba La Nyekundu ni uwanja wenye matumizi mengi huko Omdurman, nchini Sudan, unaotumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu na pia wakati mwingine kwa riadha.

Ulianzishwa mnamo mwaka 1962. Uwanja huo unatumiwa zaidi kwa michezo wa mpira wa miguu (mpira wa miguu) na unachukuliwa kama uwanja wa nyumbani wa timu ya Al-Merrikh SC na Timu ya taifa ya Sudan. Hivi sasa, uwanja huo una uwezo wakuchukua watu 43,000. Katika msimu wa Ligi ya Mabingwa ya CAF ya mnamo mwaka 2016, Al-Merrikh alitoa wastani wa mahudhurio ya watu 17,250. Kawaida huvuta umati wa watu chini sana kwa michezo yao ya ligi ya ndani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Al-Merrikh kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.