Uwanja wa michezo wa ASC HLM

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa ASC HLM uwanja huu wa michezo hutumika kwa shughuli mbalimbali na unapatikana huko Dakar, nchini Senegal. Kwa sasa unatumika zaidi kwa mchezo wa mpira wa miguu na unatumika zaidi kama uwanja wa nyumbani wa kilabu ya ASC HLM. Unaingiza zaidi ya watu 5,000.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa ASC HLM kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.