Uwanja wa michezo wa 4 Agosti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa 4 Agosti 1983 ni uwanja wenye matumizi mengi unapatikana Ouagadougou, nchini Burkina Faso.

Kwa sasa unatumika sana kwa michezo ya soka na pia unamichoro ya mashindano ya riadha. Uwanja huu unauwezo wa kubeba mashabiki takribani 60,000.[1] Klabu ya Etoile Filante Ouagadougou wanautumia uwanja huu kama uwanja wa nyumbani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]