Uwanja wa michezo Kameelrivier

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo Kameelrivier ni uwanja wa michezo uliopo nchini Afrika Kusini.Unatumiwa zaidi kwa mchezo wa mpira wa miguu (soka) na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya ''TS Galaxy F.C.''

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo Kameelrivier kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.