Uwanja wa Rabemananjara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Rabemananjara ni uwanja wa mchezo uliopo katika nji wa Mahajanga nchini Madagascar, unatumika sana kwa ajili ya mpira wa miguu,ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Tana FC Formation . uwanja huu una uwezo wa kuchukua mashabiki 8,000 .[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-04-23. Iliwekwa mnamo 2021-06-10.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Rabemananjara kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.