Uwanja wa michezo wa Onikan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Uwanja wa Onikan)
Uwanja wa michezo wa Mobolaji Johnson Arena

Uwanja wa michezo wa Mobolaji Johnson Arena ni uwanja wa michezo uliopo katika jimbo la Lagos. Mara nyingi ukitumika kwa ajili ya michezo na ni uwanja wa nyumbani wa timu tofauti tofauti kama Ikorodu United F.C., Stationery Stores F.C., First Bank F.C. na Julius Berger FC. Uwanja huu una uwezo wa kuchukua mashabiki 10,000. Na ni uwanja wa muda mrefu wa nchini Nigeria unapatikana Kusini Mashariki mwa Lagos karibu na Tafewa Balewa Square, kwa mara ya kwanza uwanja huu ulijengwa mwaka 1930, mwaka 1980 uwanja huu ulikarabatiwa kwa ajili ya michezo na shughuli za kitamaduni.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Onikan kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.