Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa NACK5 Omiya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa NACK5

Uwanja wa NACK5 Omiya ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1964 kwenye mji wa Saitama, Saitama Kantō nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Omiya Ardija na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,500.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa NACK5 Omiya kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.