Uwanja wa Michezo wa ZA Oripri
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa ZA Oripri ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1993 kwenye mji wa Ichihara, Chiba Kantō nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya JEF United Ichihara Chiba (1993–2005) na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 14,051.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa ZA Oripri kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |