Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Yokohama Mitsuzawa Athletic

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Yokohama Mitsuzawa Athletic

Uwanja wa Michezo wa Yokohama Mitsuzawa Athletic ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1951 kwenye mji wa Yokohama, Kanagawa Kanto nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya YSCC Yokohama na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 18,300.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Yokohama Mitsuzawa Athletic kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.