Uwanja wa Michezo wa Yodoko Sakura
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Yodoko Sakura ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1987 kwenye mji wa Osaka city, Osaka nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Cerezo Osaka na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 25,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Yodoko Sakura kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |