Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Yamata Sports Park

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Yamata Sports Park

Uwanja wa Michezo wa Yamata Sports Park ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1966 kwenye mji wa Tottori city, Tottori nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Gainare Tottori na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 30,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Yamata Sports Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.