Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Yamaha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Yamaha

Uwanja wa Michezo wa Yamaha ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1978 kwenye mji wa Iwata, Shizuoka Chūbu nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Jubilo Iwata na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,165.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Yamaha kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.