Uwanja wa Michezo wa Tsuyama
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Tsuyama ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1994 kwenye mji wa Tsuyama, Okayama nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Fagiano Okayama na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 10,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Tsuyama kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |