Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Technoport Fukui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Technoport Fukui ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1994 kwenye mji wa Sakai, Fukui nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Fukui United FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 21,053.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Technoport Fukui kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.