Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Tapic Kenso Hiyagon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Tapic Kenso Hiyagon

Uwanja wa Michezo wa Tapic Kenso Hiyagon ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1987 kwenye mji wa Okinawa city, Okinawa nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya FC Ryukyu, Okinawa SV na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 25,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Tapic Kenso Hiyagon kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.