Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Takaragaike Ball Game Field

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Takaragaike Ball Game Field

Uwanja wa Michezo wa Takaragaike Ball Game Field ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa kwenye mji wa Kyoto city, Kyoto nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Kyoto Purple Sanga FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 6,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Takaragaike Ball Game Field kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.