Uwanja wa Michezo wa Sunpro Alwin
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Sunpro Alwin ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1999 kwenye mji wa Matsumoto, Nagano nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya F.C. Antelope Shiojiri, Matsumoto Yamaga F.C. na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 20,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Sunpro Alwin kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |