Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Soyu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Soyu

Uwanja wa Michezo wa Soyu ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1941 kwenye mji wa Akita city, Akita nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Blaublitz Akita na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 20,125.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Soyu kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.