Uwanja wa Michezo wa Shimane Football Arena
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Shimane Football Arena ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1978 kwenye mji wa Masuda, Shimane nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya FC Kagura Shimane na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 6,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Shimane Football Arena kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |