Uwanja wa Michezo wa Sapporo Atsubetsu Park
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Sapporo Atsubetsu Park ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1986 kwenye mji wa Sapporo, Hokkaido nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Consadole Sapporo na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 20,861.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Sapporo Atsubetsu Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |