Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Sanga Kyocera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Sanga Kyocera

Uwanja wa Michezo wa Sanga Kyocera ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2020 kwenye mji wa Kameoka, Kyoto nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Kyoto Sanga na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 21,600.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Sanga Kyocera kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.