Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Peace Connected by Softbank

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Peace Connected by Softbank

Uwanja wa Michezo wa Peace Connected by Softbank ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2024 kwenye mji wa Nagasaki City, Nagasaki nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya V-Varen Nagasaki na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 20,027.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Peace Connected by Softbank kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.