Uwanja wa Michezo wa Parque Federico Omar Saroldi
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Parque Federico Omar Saroldi ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Uruguay. Ulitengenezwa mnamo mwaka 1928 kwenye mji wa Montevideo nchini Uruguay. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Atlético River Plate na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,165.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Uruguay". www.es.fifa.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-01. Iliwekwa mnamo 2024-12-12.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Parque Federico Omar Saroldi kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |