Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Parque Capurro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Parque Capurro ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Uruguay. Ulitengenezwa kwenye mji wa Montevideo nchini Uruguay. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Centro Atlético Fénix na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,500.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Uruguay". www.es.fifa.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-01. Iliwekwa mnamo 2024-12-12.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Parque Capurro kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.