Uwanja wa Michezo wa Paloma Mizuho
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Paloma Mizuho ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1947 kwenye mji wa Nagoya, Aichi nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Nagoya Grampus (select matches) na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 27,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Paloma Mizuho kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |