Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Obihiro Athletics

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Obihiro Athletics

Uwanja wa Michezo wa Obihiro Athletics ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1983 kwenye mji wa Obihiro, Hokkaido Hokkaido nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Hokkaido Tokachi Sky Earth na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 18,504.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Obihiro Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.