Uwanja wa Michezo wa Minami Nagano
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Minami Nagano ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2002 kwenye mji wa Nagano, Nagano Chūbu nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya AC Nagano Parceiro na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,491 (expanded).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Minami Nagano kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |