Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Kirin Lemon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Kirin Lemon

Uwanja wa Michezo wa Kirin Lemon ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa kwenye mji wa Hōfu, Yamaguchi nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 6,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Kirin Lemon kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.