Uwanja wa Michezo wa Kimiidera Athletic
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Kimiidera Athletic ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1964 kwenye mji wa Wakayama city, Wakayama Kansai nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Arterivo Wakayama na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 19,200.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Kimiidera Athletic kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |