Uwanja wa Michezo wa Khalifa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Kimataifa wa Khalifa muonekano kwa nje

Uwanja wa Kimataifa wa Khalifa (kwa Kiarabu: ملعب خليفة الدولي), pia unajulikana kama Uwanja wa Taifa, ni uwanja unaotumika kwa matumizi mbalimbali katika mji wa Doha nchini Qatar, kama sehemu ya michezo ya mji wa Doha kama vile Aspire Academy.[1] Umepewa jina la Khalifa bin Hamad Al Thani, amiri wa zamani wa nchini Qatar. Fainali ya mwaka 2011 ya Kombe la Asia Afc ilichezwa katika uwanja huu. Uwanja huu umeajiri wafanyakazi wapatao 30,000.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Alternative Name. Emporis.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Khalifa kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.