Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Kawagoe Athletics

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Kawagoe Athletics

Uwanja wa Michezo wa Kawagoe Athletics ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa kwenye mji wa Kawagoe, Saitama nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Chifure AS Elfen Saitama na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 8,500.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Kawagoe Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.