Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Kagawa Prefectural Football

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Kagawa Prefectural Football

Uwanja wa Michezo wa Kagawa Prefectural Football ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1987 kwenye mji wa Takamatsu, Kagawa nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Kamatamare Sanuki na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 10,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Kagawa Prefectural Football kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.