Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Jardines del Hipódromo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Jardines del Hipódromo ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Uruguay. Ulitengenezwa mnamo mwaka 1957 kwenye mji wa Montevideo nchini Uruguay. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Danubio Fútbol na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 16,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Uruguay". www.es.fifa.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-01. Iliwekwa mnamo 2024-12-12.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Jardines del Hipódromo kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.